VOICE OF A DISTRESSED BOY CHILD

0
915

Sijakulazimu mimi kunipenda
The last time i checked, ulitaka mapenzi
Ndio atleast ukue at per with your peers
Ilikua presure na regret mbona nilijiingiza pia
Wagenge waslisema, mwanamke ni tabia sura hata mbuzi alipatiwa
Yako haya yamezidii, mapenzi ya web naona nikiachia spider
Me si super hero so sijaribu kuwa perfect
The best i ever been ilikua kua prefect
Struggle nyingi me siezi
Shida ya macho ninayo
Hii kukua sioni ikienda mbali
Kama mapenzi ni safari
Basi letu gari halina mafuta
Ama maybe flat tyre
Juu we kua flat me walai hu tire
Ku force convo
Kukua msweet
Najua i never learn
Si shosho na guks wote walikufa juu ya diabetes
But me najaribu, juu ka whiskey you my best
Sijaribu kuku threaten
Lakini communication usipo i strengthen
Basi me naona tu ukiinita breathren

A boy I was sometime back
Sai all i wish nimsee ku rudisha hand ya clock back
But si tena mlisema foward ever, backward tuachie exhaust
So for the last time swee, your boring soul me nita host
Feel at home
But usi feel free sana
Si unajua tena cheap is expensive
Ndio maana me kukupeleka KFC kwangu ni dream
Chipo mwitu kwangu utakula, si ulipenda history back in school:hunter and gatherer

Najaribu kukua msweet
Najaribu kukua mromantic
Lakini naogopa ka baba kucheswa mara tatu
Kweli mistari ni ya watu wanapenda kusoma
Na ni kama ki mapenzi wewe bado illiterate

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here